Duration 5:7

TAZAMA DC MAYANJA ALIVYOMALIZA MGOGORO ULIODUMU MIAKA 28

591 watched
0
4
Published 28 Dec 2021

Mkuu wa wilaya ya Hanang mkoani Manyara Janeth Mayanja amewataka wananchi kutokuwa sehemu ya uchochezi wa migogoro inayoibuka baina ya mwananchi na mwananchi ama mwananchi na Kijiji Ameyasema hayo wakati akitafuta mgogoro wa ardhi baina ya Mzee John Gindahonda na mzee Mascron Gult Uliodumu kwa muda wa miaka 28 Hapo awali Mzee Mascron Gult alimuuliza Shamba Mzee John Hekari 16 kwa shilingi laki mbili na nusu lakini baada ya kupita miaka kadhaa mzee John alijiongezea eneo jambo ambalo lilimkera mzee Mascron na kuanza kufuatilia haki yake kwenye ofisi mbalimbali za kiserikali kama wanavyoeleza mzee Mascron na mzee John TAZAMA DC MAYANJA ALIVYOMALIZA MGOGORO ULIODUMU MIAKA 28 WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 1