Duration 2:15

MSIKILIZE LUSINDE AKIZUNGUMZIA SAKATA LAKE NA TAKUKURU

4 927 watched
0
14
Published 15 Jul 2020

Aliyekuwa mbunge wa Jimbo la Mtera wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma Livingstone Lusinde akizungumza baada Taasisi ya kuzuia na kupambana na rushwa (Takukuru) mkoa wa Dodoma kusema hadi sasa haijafanikiwa kupata vithibitisho vinavyonyesha kuwa alikuwa anatoa rushwa. Hivi karibuni Taasisi hiyo iliwashikilia aliwashikilia Lusinde na mjumbe wa Halmashauri kuu CCM Halima Okashi kwa tuhuma za kutoa rushwa ya fedha kwa wajumbe 20 ili kusaidiwa kwenye mchakato wa uchaguzi.

Category

Show more

Comments - 8