Duration 3:22

WASAFI imempa baraka zote BABUTALE aende kugombea ubunge Morogoro Mbunge mtarajiwa morogoro viji..

12 141 watched
0
295
Published 3 Jul 2020

Please subscribe now on Our YouTube channel To be the first to hear about the latest news and updates on Time. #middlesimba #WeAreEverywhere #babutale #wasafi #diamondplatnumz

Category

Show more

Comments - 89
  • @
    @rengoofficial1424 years ago You are the best, middle simba you have to be rewarded for the good job you always do. Love fromtunapenda stories zako sana. Like hapa kama unamkubali middle simba. 3
  • @
    @damarissyombua36634 years ago Babu tale pole sanait really pains but usijali ni hali ya maisha tu. 2
  • @
    @lembrismusa8934 years ago Babu tale ataweza san hata mimi lembu ningeweza. 2
  • @
    @juniorcx01144 years ago Wcb chama kubwa diamond platinum nembo ya taifa simbaa baba lao
    babu tale mungu nawe.
    2
  • @
    @emilymideva87834 years ago Babutale ako stronge anaweza kazi zote mbili #254 all the best taletale.
  • @
    @mobrighttz1934 years ago Inatakiwa afanye kazi zot kuongoza pia na morogoro vijijin ana weza na Nina iman anashinda kwa % 1
  • @
    @ezapesambili21304 years ago Sema niko mwanza ila. Ila morogoro lazma wamtie mjengon. 3
  • @
    @jaydenkariuki65954 years ago Wish him all the best but nauliza akiwa mbunge so ataendelea kukua manager wa wcb. 1
  • @
    @dizzboss75264 years ago Wcb bungeni sasa hahahahah nakubali middle simba.
  • @
    @florabaruti80324 years ago Tunatakiwa kuelewa ata kama kafiwa lakini maisha lazima yaendelee jamani. 2
  • @
    @mjubamasawe37234 years ago Ndo kmtoaa kafaraa mke wake kweli duu kweli maisha yanabadilika. 1
  • @
    @hamisule38784 years ago Nyie chichiem mwaka huu tutakushindeni vibaya sana hamtaamin.
  • @
    @erickndunguru18244 years ago Kwaio ile msiba ulikua n kafara siioo doo. 2
  • @
    @egydiva90734 years ago Mmh msiba hata wiki haijaisha. Hapo kunakitu.
  • @
    @roseshiombo14504 years ago Jaman eh si ungevumilia ata mkeo amalize sku arubaini wanaume wa sku hzi kweli hamjali kabsa. 1
  • @
    @hamisule38784 years ago Tutakushangazeni mwaka hju chichiem hamtaamin sisi tunaenda na nambar sio nyimbo za wcb.
  • @
    @hassanmapenzi61884 years ago Babu tale atashinda uchaguzi wcb chama lao.
  • @
    @hamisule38784 years ago Kama mnazani mtahurumiwa ubunge sababu misiba tutawashinda kama trumphilar clinton chadema digital hii tunaenda na number.
  • @
    @habibakhalfan10654 years ago Dhana_ni_mbaya_mnoo_ila_kuolewa_na_ma_star_ni_mtihan_mkeo_juzi_tu_leo_watangaza_kuwania__ubunge. 1
  • @
    @francissamson80284 years ago Maisha ni safari, ni wakati sasa kurndelea na safari babu tale.
  • @
    @hamisule38784 years ago Diamond gombeya mboso rayvan salamu na harmonaize wemasepetu nyote tutawagaragiza vibaya.
  • @
    @bintykigan62364 years ago Hio nia yakugombea ubunge maskini alikua nayo kitambo ata mazishi nilimsikia mtu kasema watu wanamdhania vibaya baba wawatu.
  • @
    @hamisule38784 years ago Mlikujaa na wasanii wenu zanzibar seif sharifu akawashinda kwa kura 15, 0.
  • @
    @hamisule38784 years ago Hata zuchu khadija kopa wte wagombee hi mara hii chadema msingi sio ya makapi.
  • @
    @sadashabani36534 years ago Jmn binadam hamjawah kosakosa kugombea ndo mseme kamtoa mkewe kafara kaah yatawashnda. 1
  • @
    @sarahmunyiva59684 years ago Si mke alikufa juzi tu leo anamka kugombeaaliuwa mke dio apate umbunge? Jaman watu wamegeuka kuwa wanyama hata siugelia agalau mwezi moja.
  • @
    @zakariamachibula4884 years ago Huo ni fara kabisa yaani mke wako kabisa kipenzi umezika hivi karibu arafu au kuna siri mbona sipati picha.
  • @
    @michelinemapendo66524 years ago Sasa mwanamuke kafariki leo unapata cheyo, daah sirizito. 3
  • @
    @muanashaswaleh51104 years ago Huyu nae alikula mkewe kwakuwania dunia. 1
  • @
    @geoffreymoses16424 years ago Eee why ivoo something mke wake akafa juzi kwan ni sacrifice alitolewa. 1