Duration 3:16

ZIARA YA WAZIRI JENISTA KATIKA VIWANDA VYA ALAF NA KIOO

136 watched
0
0
Published 16 Dec 2021

Ziara ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Uratibu, Kazi,Vijana, Ajira na Wenye ulemavu, Mhe. Jenista Mhagama (Mb) katika kiwanda kinachozalisha mabati cha Alaf Limited pamoja na kiwanda cha Kioo Limited vilivyopo Wilaya ya Temeke Mkoani Dar es Salaam

Category

Show more

Comments - 0