Duration 55:38

NYUNDO YA BARUAN MUHUZA : Maulid Kitenge na siri ya mafanikio yake

52 746 watched
0
338
Published 14 Mar 2019

Ni Mtangazaji wa mkongwe wa michezo ambaye kwa sasa anakitumikia Kituo cha Radio cha EFM, Maulid Kitenge, akiwa kwenye kipindi cha Nyundo ya Baruan Muhuza cha leo Machi 14, 209 ameweka wazi dhamira yake ya kuhitaji kugombea ubunge katika moja kati ya majimbo ya yaliyopo mkoani Dar es Salaam. Mbali na hilo, Kitenge amesimulia historia yake ikiwa ni pamoja na kuweka wazi kilichompa mafanikio kwenye maisha pamoja na kazi anayoifanya. Kwenye kipindi hiki, Kitenge amefunguka mengi, ikiwemo lile sakata la aliyekuwa Waziri wa Habari, Nape Nnauye kushikiwa bastola hadharani, suala yeye kutakiwa na Yanga ambapo ameweka wazi sababu za kukataa ofa hiyo, maisha yake binfasi na kwanini hupenda kusafiri kkwa kutumia daraja la biashara kwenye ndege pamoja na Nguli huyo wa utangazaji amezungumzia pia suala la watoto wake kuwa wana michezo, tasnia ya habari hawa uandishi wa habari za michezo akiweka wazi majina ya watangazaji anaowakubali, maendeleo ya michezo nchini na mengine mengi.

Category

Show more

Comments - 51