Duration 3:47

MACHINGA WOTE MWISHO LEO, KESHO MUONDOKE HAPA KAMA TULIVYOKUBALIANA - RC MWANZA

9 095 watched
0
32
Published 21 Oct 2021

"MACHINGA WOTE MWISHO LEO, KESHO MUONDOKE HAPA KAMA TULIVYOKUBALIANA" - RC MWANZA Zoezi la kutenga na kuandaa maeneo ya mbalimbali ya wafanyabiashara wadogo maarufu machinga limekamilika katika mkoa wa Mwanza ambapo Mkuu wa mkoa huo mhandisi Robert Gabriel amefanya ziara ya kukagua na kuona wafanyabiashara walioondoka katika eneo la Makoroboni na kwenda katika maeneo waliyopangiwa. Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya machinga ni Dampo la Buhongwa,uwanja wa Chafukoga ulipo Igogo, Igoma na maeneo mengine yaliyotengwa katika jiji la Mwanza. Wakati zoezi la kuhama likiendelea baadhi ya wafanyabiashara wameanza kuondoa vibanda vyao huku wengine wakisalia kufanya biashara katika eneo hilo la makoroboi. Aidha mkuu wa mkoa mhandisi Robert Gabriel ameagiza ifikapo kesho Ijumaa octoba 22.2021 wamachinga wote kuondoka katika eneo la Makoroboi na kwenda katika maeneo yaliyotegwa. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: /playlist/PL22mc2rU91vDNQjLA5ikELAOcJp5XrakD ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: /playlist/PL22mc2rU91vD-h-a328gR3qltQXYWVQiO ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 19