Duration 2:56

AFISA ELIMU AKAMATWE, IGP SIRRO ATOA MAELEKZO MAAFA YA MOTO SHULENI NA WANAFUNZI KUFA.

316 watched
0
5
Published 15 Sep 2020

#JESHILAPOLISI #KAGERA #AJALIYAMOTO #IGPSIRRO Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro amesema Jeshi hilo limeanza uchunguzi kuhusiana na tukio la ajali ya moto lililosababisha vifo vya wanafunzi 10 na wengine saba kujeruhiwa sehemu mbalimbali za miili yao. IGP Sirro amesema hayo leo wakati alipofanya ziara mkoani Kagera katika wilaya ya Kyerwa ambapo shule ya kiislamu ya Byamungu (Byamungu Islamic English Medium) bweni lake kuteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo.

Category

Show more

Comments - 0