Duration 2:49

Kwa nini baadhi ya Maeneo Maji hayapatikani muda wote au yanapatikana kwa kuchelewa

Published 24 Oct 2021

Kwa nini baadhi ya Maeneo Maji hayapatikani muda wote au yanapatikana kwa kuchelewa? Mkurugenzi Mkuu - ZAWA, Mhandisi Dkt. Salha Mohammed Kassim anatoa ufafanuzi juu ya jambo hilo na hatua zinazotaka kuchukuliwa na ZAWA ili kuondokana tatizo hilo. #LIPAMAJI,TUIMARISHEHUDUMA.

Category

Show more

Comments - 0