Duration 4:28

Mungu Ajibu Maombi | | The Saints Ministers Live @Karengata Camp 2019 Skiza Code

370 839 watched
0
1.5 K
Published 9 Aug 2019

#KarengataCamp2019 #SavedByGrace CONTACT US: +254729536122 +254727251675 LYRICS. Unapoomba, nitaje Jina omba Mungu anikumbuke, Ni mnyonge mimi sina uwezo, kwa maombi 'tapata nguvu. Unapoomba omba kwa Imani maombi atayasikia, unapoomba uwe mnyenyekevu, maombi atayajibu. Kulala kwetu, kuamka kwetu, kuishi kwetu ni Neema, tumaini letu li kwako Bwana, Abudu, ungama, shukuru kwa dua zetu, tumaini letu li kwake Bwana. Mungu ajibu maombi maombi ya watu wake. Uliza, amini, pokea shukuru, lingana ahadi zake ombi lako litajibiwa.

Category

Show more

Comments - 141