Duration 3:56

KOFFI OLOMIDE ALIVYOPOKELEWA NA DIAMOND PLATNUMZ AKIINGIA TANZANIA

134 897 watched
0
1.3 K
Published 21 Nov 2020

𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺 𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴 𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/ 𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻 𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻 𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ: 𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/ 𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 124
  • @
    @gbincentpourcent55434 years ago Wow, i' m impress by the respect diamond his showing here. He' s a huge deal but still acting so humble. Our so calledcould take a lesson on two here. 1
  • @
    @tinaa66714 years ago We cant wait to see this new song for this 2. 11
  • @
    @bigbossmanbossman69464 years ago Trust me chombo kwa hewa kinapikwa kitu cha kufunga na kufungua mwaka diamond platinumz ft mokonzi (koffi olomide) the song of welcoming 2021 and closing 2020. Finally the african icons have spoken. 15
  • @
    @AnonyMous-gb7qh4 years ago Whatever song they are about to come up with is about to lit af i cant wait. Koffi forever. 1
  • @
    @kadojr29644 years ago Namkubali sana mondi kama naww wamkubali like yako tujuane. 43
  • @
    @nobelernestonel46854 years ago I like the way diamond reacting so humble. 13
  • @
    @sirtiller50424 years ago Diamond may Allah give you life and forgives you where you were wrong.you are such a good and respecting person.the act of you helping loading the id="hidden3" class="buttons"> Mr coffi bags with the guy in red uniform is an act of honor and humbleness for such a person of your rank I this world.
    .. ...Expand 22
  • @
    @itsangylifestyle11624 years ago I love tanzania the way they do respect people. That why their country is blessed but jamani tafutieni @koffiolomid translator. 9
  • @
    @athanacedward78034 years ago Chibu d chibu dee mamb wao acha wapige majungu sisi 2nachapa kazi. 6
  • @
    @barrysulty17564 years ago Gefelicerteed, diamond breor jij bent de beste!
  • @
    @cadeauirakoze31514 years ago Tunangojea hiyo video song y diamond n kofi. 4
  • @
    @zimudaniel40014 years ago Daa siamin kama kunakijana mdogo wa kitanzania anaweza kufanya vitu kama iv vitokee. Broo fanya kazi tumejifunza kua kila kitu kinawezekana. 8
  • @
    @afterfull-time13484 years ago Mond uzuri ww unaimba moja inakuingiza kwwny tuzo na kuzima album za wapumbav mtaani acha wafanye mziki wajipongeze usio na tuzo wa world mungu kwa kumleta huyu jamaa tz maana saana yetu isingekuwa bila yy msanii anapokelewa ata mwwnyw anahisi yupo mikono salama mfalme wa mziki africa mashariki.
    we are going to hold the platforms again guys are u ready?
    .
    ...Expand 23
  • @
    @josephvenus32594 years ago Haya sasa, msije sema nyimbo zenu hazipigwi nje bure. Changamkieni tenda wa kina korosho Simba we noma sana! wanyooshe tu .. 12
  • @
    @kadojr29644 years ago Kama unakubali diamond simba kijana like hapo chin. 24
  • @
    @pacifickamalebo60524 years ago Diamond tunamupenda sana congo msani wa kwanza tanzania nzima tena ana heshima na busara.
  • @
    @judyroth89284 years ago Louisvitton papa mobimba cool swag karibu tizedi.
  • @
    @heriholder29374 years ago Msanii wangu namba moja africa nzima, duniani ni 6ix9nine hutaki kafe mbele. 1
  • @
    @zuleikhakhamis33034 years ago km namuona mzee wa kiki kismall cha tandarimba kinavyoharisha na Ushamba wake mjini anawakalisha sana waja hichi kitu cha kufungia mwaka hongera kwako SIMBA japo SITAKIII .. ...Expand 8
  • @
    @nishasalim28804 years ago Salam sk tumbo ana mimba ya miezi mingapi?
  • @
    @yojulldavid63324 years ago Yaani ni kweli simba ka muita kofi olomide tanzania ongera simba king afrika sasa kuna kosa uite cris brown.
  • @
    @minzawalwa1774 years ago Mabegi yote hayo au kakimbia corona france.
  • @
    @silvanusremmy95754 years ago Hapo alipo pandia koffi, mtu nikapigwa faini 300 ( sio parking area)
  • @
    @magrethjoseph77544 years ago Kama unahisi mpenzi wako anachat kwa sms na michepuko na unahitaji kuziona meseji zao kwa siri bila kushika simu ya mpenzi wako ingia playstore tafuta application inayoitwa maxneta halafu download itakusaidia sana.
  • @
    @azzamahamdu70394 years ago Ila kitambo nilimkubali sana daimond niljua atafanya makubwa tz. Wadada mlomkarbisha kofiekutoa flower na kusalim kofie namlibabaika. Polen mwe chezea kofie.
  • @
    @ramadhanathuman9404 years ago Ukiwa kwenye menejimenti ya wenye akili utafanikiwa kukutana na wengi pia utafanya mengi.
  • @
    @zamoyonimangile44024 years ago Ulianza na mwanae kisanaa yani falii pupa na sasa ni zamu ya baba, hivi falii pupa huwa anamdis kofii kwenye ngoma zake?
  • @
    @danneismail54424 years ago Sasa mshasikia king ni diamond # tusibishane tena. 7
  • @
    @kingnicky25684 years ago Bomu limetegwa hilo najua linakarbia kulipuka. 1
  • @
    @swalehthefinest4 years ago Yaani hii imefanywa kitaalamu zaidi hakuna media zakipuzi maana kungeja balaa.
  • @
    @OfficialOchu4 years ago Napenda kujua airport mpya ni ya ndege za wapi na ya zamani ndege za wapi maana sielewi elewi.
  • @
    @petromlwafu69224 years ago Et hawapigi nyimbo za wcb alaf wanajiita media kubwa iv huo ukubwa ni wenu na familia zenu tu et, diamond platinumz kazima kila uchafu anaskika yeye id="hidden9"tu mamake mtakufa kwa kuugua mavindonda ya tumbo simba ebu wakere zaid broo. ...Expand 1
  • @
    @salehestambul55354 years ago Juzi kati wkt taifastaz inacheza kunakakingi fulani kalikuwepo jamaa wakaungana na kusema huyu ni star lkn hana makuu yupo simpo tu, hana mabodiguard wala . ...Expand
  • @
    @jphener92804 years ago C wanajifanya cjui ndo wana uyo cjui king wao na yeye alete msanii mkubwa mafala wale king ya ushunzi na uyo pimbi asijielewa atulie kimya tutamnyoosha tumemlea wenyewe fala yule simba baba lao,
  • @
    @setholivier48624 years ago kwani huu simba nafanya nini mbwembwe au
  • @
    @filbertnashon71604 years ago Jirani zetu wa kenya najua bado hawaja comments, nasoma text sioni. Na wanavopenda umbeyaleo hamtaki chibu dangote ebu mtitiririke nyie wakenya. Mnatumia nyimbo zetu kutuzidi sisi wa bongo. 1
  • @
    @samsonhaule54224 years ago Kofi olomide namuona kama mr nice hana ishu, kashapitwa na wakati.