Duration 24:15

LIVE: GLOBAL HABARI JUNI 22 - JPM ATOA ONYO KWA RPC ARUSHA

1 527 watched
0
7
Published 22 Jun 2020

🔴#LIVE: GLOBAL HABARI JUNI 22 - JPM ATOA ONYO KWA RPC ARUSHA... Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Magufuli amewata RPC na Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Arusha kufanye kazi kwaajili ya serikali pamoja kusimamia Maadili ya kazi na sii vinginevyo. Rais Magufuli ameyasema hayo katika hafla ya uhapisho wa viongozi aliowateua hivi karibu akiwemo mkuu wa mkoa wa Arusha baada yakutengua uteuzi wa Mrisho Gambo. Amewataka kuzingatia viapo vyao na kufanya kazi kwa ushirikiano tofauti na ilivyokuwa katika uongozi wa awali ambao Ulikuwa na ugomvi wa kila mara Huku akimtaka RC Kimanta kwenda kutatua migogoro mkoani humo. Awali akizungumza katika hafla hiyo Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo amewashauri viongozi hao kwenda kufanya kazi kwa weledi huku akiwataka wakuu wa wilaya wote nchini kuwaheshimu wakuu wa mikoa. Msomaji na Muandaaji ni Felista Massae... ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 0