Duration 16:20

JTANO SEPT 29 ASBH

102 watched
0
1
Published 29 Sep 2021

"Nami nitawarudishia hiyo miaka iliyoliwa na nzige, na parare, na madumadu, na tunutu, jeshi langu kubwa nililotuma kati yenu" #Yoeli 2:25 Mwana wa Mungu, pokea ahadi hii ya Mungu. Ni ahadi ya Mungu kuturejesha. Nakuombea Mungu aliye hai akurejeshe mahali unapostahili kwa jina la Yesu aliye hai. Kama utakuwa na jambo la kutushirikisha tuombe nawe tafadhali tuwasiliane kwa namba hizi +255758443873

Category

Show more

Comments - 0