Duration 3:15

MAMA MJANE AMLILIA MAGUFULI KWA KUBOMOLEWA NYUMBA YAKE

134 watched
0
2
Published 24 Mar 2018

MJANE mwenye umri wa Miaka 48,mkazi wa kitongoji cha Majengo,Kisambare kata ya Usa River,wilayani Arumeru,Mkoa wa Arusha,Hawa Makuza,amemlilia rais John Magufuli kumsaidia kurejeshewa Nyumba yake iliyobomolewa kineyemela na kumlazimu kulala nje na watoto

Category

Show more

Comments - 0