Duration 4:38

Marco Chali Feat One The Incredible & Msamiati - Yeaah - Song

49 440 watched
0
733
Published 18 Jan 2020

#MarcoChali #OneTheIncredible #Msamiati #Yeaah! People Have Forgotten That They Are Actually Blessed!! Download YEAAH! https://lnkfi.re/MCYeah LYRICS: INTRO: ( Hili Vibe liko kwenye Air/ Deilee/ Vibe liko kwenye Air ) CHORUS 1: MARCO CHALI - ( MR WINKO ) Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu ana Bless it’s Okay eeeh - Yeah, Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu Ana Bless it’s Okay eeeh- Yeah. It’s Okay X2 MARCO CHALI ( MR WINKO ) VERSE 1: Vipo vya lawama Sio shida, Vipo vya kupoteza Sio muda, We Inukaa, na ukimbize ndoto. aaah, Ku-patia haina maana hukosei, Kiburi kinafanya hatujongei, Tuna-Amka wapya kila day eeeh eeh, Slow ila, kufika unawahi, Chozi una- mfuta anae cry, Tuki- pendana Mungu anafurahi yeeeeh yeah!. CHORUS 2 Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu ana Bless it’s Okay eeeh - Yeah, Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu Ana Bless it’s Okay eeeh- Yeah. VERSE 2 - ONE THE INCREDIBLE ( UNO ): Haina maana kulalama/ Leo na kesho haina maana bila Jana/ Mungu ni mwema, ndugu, tubu unapohema ukikumbuka, binadamu hatufanani tunafaana/ Uskiose imani unapokwama kwani/ Usiogope lawama unapoisaka Amani/ Kutoka hustle, tunahaha mtaani/ Mungu ana-bless, Sina shaka man/ Usiwaze zaidi ya unachohitaji kuwaza/ Usimkwaze yule usiyehitaji kumkwaza/ Tafakari zaidi, tafakari faidi, matunda ya huu uhai ile siku inapoanza/ Ni mangapi umepitia na uko hapa leo?/ Ni mangapi umeyasikia?, Je, umepata upeo?/ Mie nashukuru niko hai, niko hapa, hii ni sasa, umenidaka sio!?/ CHORUS 3: Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu ana Bless it’s Okay eeeh - Yeah, Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu Ana Bless it’s Okay eeeh- Yeah. It’s Okay X2 VERSE 3 MSAMIATI: INTRO: ( Bibi akuti, ku n'jini na bhandindwana hao. Mnasahau kila kitu. M'mbukege kuiputa Zaka, msyosege zaka ) Kyala gwalugano, ikupilikisya, Kusukile, ukiweka mbele pesa, Makubwa yanapikwa na subra. Subira. Heshima na tamaa havikai nyumba moja Labda zamani, sasa hakuna muda wa kungoja Tunajifunza tukikua, tunakua tukijifunza Kinachotufanya watu sio vitu, sio kitu. UTU, Matatizo ya kila mtu. tuyaogope...!? kwanini. Usitumie nguvu utaumia Jifunze na nature, ndio funguo ya dunia Jitambuueeee, usikiiii-lizi kitu kama usikilizi wazee Yeah- Ulizia usipotee CHORUS 4: Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu ana Bless it’s Okay eeeh - Yeah, Mi Sihitaji Kucomplain - Yeah, Mungu Ana Bless it’s Okay eeeh- Yeah. It’s Okay X4 End. Audiomack Link: https://audiomack.com/song/marcochali/yeaah

Category

Show more

Comments - 127