Duration 2:31

LISSU ALIVYOJIUZA KIBAHA/KAMPENI ZA CHADEMA

24 710 watched
0
117
Published 10 Sep 2020

Mgombea Urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tundu Lisu amesema kitendo cha Serikali kuawaachisha kazi watumishi wa umma kwa Sababu ya kukosa vyeti vya Elimu ya Sekondari kilimuumiza na kwamba Iwapo atachaguliwa kushika nafasi anayegombea atahakikisha anafanya utaratibu Ili kuwa fidia waathirika hao.

Category

Show more

Comments - 45