Duration 11:32

BIBI ALIE-TREND ANABETI ILI AJENGE NYUMBA NILIKOSA MILIONI 24, NAUZA PILIPILI

101 403 watched
0
965
Published 31 May 2021

Kama na wewe uliiona picha ya Mwanamke aliyekaa kwa huzuni kwenye mashine ya michezo ya kubahatisha akibet Jijini Dar es salaam hivi karibuni na ukatamani kufahamu ni nini kilimsibu, AyoTV inakukutanisha nae........ jina lake ni Edna Mathayo na umri wake ni miaka 60. Imezoeleka michezo ya ku-bet inachezwa sana na Vijana lakini sio jambo la kawaida kukutana na Mwanamke wa miaka 60 akikomalia kubet?.

Category

Show more

Comments - 483