Duration 26:22

MUENDELEZO:BI MDOGO ALIYEKATAA UKE WENZA AFUNGUKA SABABU YA KUKATAA UKEWENZA /BABA NA MARAFIKI..

51 070 watched
0
426
Published 25 Nov 2020

Ni muendelezo wa tukio la Mwanaume aliyenitafuta akilalamika na kutaka ushauri kutoka kwa Wanaume wenzake kuhusu nyumba ndogo yake kupata Mwanaume mwingine wakutaka kumuoa. Nimempata Mwanamke huyo pamoja na baba yake mzazi wamefunguka mengi sanaa ambayo tulikuwa hatuyajui Fwatilia hapa #MatukioyaGeah #GeahTv #geahhabibu

Category

Show more

Comments - 358