Duration 7:10

MBATIA AICHANA HOTUBA YAKE, ASEMA HOTUBA ZILIZOTOLEWA NA WADAU NDIYO MSIMAMO WA NCCR- MAGEUZI

6 310 watched
0
19
Published 7 Aug 2020

Mara baada ya kuwasikiliza wadau wa siasa asasi za akiraa, taasisi za dini na viongozi wa siasa, Mwenyekiti wa Vhama cha NCCR MAGEUZI James Mbatia aliamua kuacha kusoma hotuba yake kwa taifa akieleza kuwa yale yote yaliyozungumzwa na viongozi waliotangulia ndio msimamo wa chama chake kuelekea uchaguzi mkuu wa Oktoba 2020.

Category

Show more

Comments - 33