JOACK COMPANY TUNAFUNGA MIFUMO YA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ), KUANZIA NUSU HEKA NA KUENDELEA
Call/Text/WhatsApp: +255 655 05 73 23
@joackcompany @mifugo_tz @kilimo_tz @afyakiganjani @joackagrovet
Muda wetu wa kazi ni saa 1 Asubuhi hadi saa 5 Usiku (7:00am - 11:00pm)
Umuhimu wa kutumia mfumo wa umwagiliaji maji kwa njia ya dripu zinazomwaga matone kidogo kidogo.
1. Matumizi ya maji yanakuwa kidogo sababu yanamwaga katika mche husika.
2. Mimea inapata maji katika kiwango stahiki hivyo inapunguza mimea kuathiriwa na ukungu.
3. Unapangilia muda mzuri wa umwagiliaji maji.
4. Ni njia rahisi ya kusambaza dawa kwa njia ya maji na dawa kupenya vizuri katika udongo.
5. Inapendezesha shamba lako linakuwa katika mpangilio mzuri pia ni rahisi kulihudumia shamba.
Tunafunga kwa ubora na kwa kutumia vifaa imara vinavyodumu kwa muda mrefu miaka nane,
a) Ekari moja tunafunga kwa gharama ya milioni 2 ikijumuisha vifaa, ufundi na gharama ya usafiri.
b) Nusu eka tunafunga kwa gharama ya milioni 1.2 ikijumuisha vifaa, ufundi na usafiri.
c) Robo heka tunafunga kwa laki 6.5
NB: Ukihitaji tukuwekee pia katika eneo la udogo chini ya robo heka unaweza kuwasiliana nasi pia utapata offer ya ushauri wa mazao na farm plan.
Tunapatikana Tegeta- Wazohill, Barabara ya kiwandani, Dar es salaam, P. O. Box 67414.
Ukilipia hicho kiasi tunakukabidhi shamba likiwa na mifumo ya umwagiliaji.
#dripirrigation #mifumoyaumwagiliaji #dripirrigationsystem #kilimochamatone #kilimochaumwagiliaji #kilimochakisasa
Office zetu zipo @tegetawazohill -Barabara ya kwenda kiwanda cha twigacement, opposite na kota za kiwanda - Dar es salaam, Kwa wanaohitaji bidhaa zetu au huduma yoyote fika ofisini au wasilina nasi kwa
Simu:
+255 655 05 73 23 (WhatsApp)
+255 692 43 02 63
Email:
joackbagamoyo@gmail.com
YouTube: /watch/wnftHqLyLxUyt
Website link: https://joackcompany.business.site/
#joack #joackcompany #joackvetcenter #Kilimo #kilimotz #mifugo #mifugotz #mbogamboga #tanzania🇹🇿 #kilimo #agricultural #tanzania #papai #nyanya #vitunguu #daressalaam #morogoro #tango #tikiti #karoti #piripiri #farming #viazilishe
JOACK Company LTD | DSM & BAGAMOYO
Category
Show more
Comments - 0
Related videos for JOACK COMPANY TUNAFUNGA MIFUMO YA UMWAGILIAJI MAJI (DRIP IRRIGATION ):