Rais John Pombe Magufuli akizungumza na Waziri na Katibu Mkuu (TAMISEMI) juu ya kusitisha mara moja utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara wadogo "Machinga" katika Jiji la Mwanza mpaka mamlaka husika itakapokamilisha maandalizi ya maeneo watakapohamishiwa.
@umranim58547 years agoWasaidie baba wanyonge na mungu atakusaidia mungu amesema mtizame wa chini na wa juu atakutizama wewe watu wakiwa na kazi wataacha wizi mungu ibariki tz. 2
@
@dativadaud43003 years agoBaba, tukupate wapi! Natamani ufufuke! 2
@
@jeremiasirong69027 years agoSafi san mheshimiwa raisi, wew ndo rais tuliyekuwa tunamhitaji. 1
@
@masubifaustine77167 years agoMungu akujalie halo umenena ila kwa bashte bado cjackia.
@
@umranim58547 years agoUliwapa amana na amana hawajui kuitumia cheo ni dhamana wambiie baba hongera sana. 1
@
@mamymamy89717 years agoYani raisi magu nakupenda mpaka nasikia kizunguzungu wewe ndio mtetezi wawanyonge mungu akulinde na fitna za maadui akupe umri mrefu na afya njema. 1
@
@abdallamabrouky3408 years agoMungu akubariki raid. Wetu mpendwa e. 2
@
@omarymbalala62247 years agoKwamara yakwanza umeongea jambo ambalo kila mtu limemfrahisha. 2
@
@suleimanhussein14877 years agoNamkuli sana raisi wetu makufuli chapa kazi baba na m, mungu atakupa nguvu cjapata kuona raisi km makufuli ni hodari sana tuko nyuma yako raisi wetu kipenzi unaojali wanyonge.
@
@rahyaomari82118 years agoNampenda sana rais wangu mungu akupe maisha marefu. 2
@
@petermoshi318 years agoRaisi magufuri uishimaisha malefu kwa kutetea wanyonge . 2
@
@zuuniece66357 years agoLeo umenena pk nimekuelewa bgp kwako mkuu.
@
@allexlunny77957 years agoUmeongea kweli mkuu maskini tunakutegemea. Karibu na mikoa ya nyanda za juu kusini useme neno.
@
@mwemezibarnabascharles54127 years agoNaanza kuamini kuwa washauri wa makubwa ni wanafiki na wanampotosha mkuu chungulia elimu na mpango wa madawati.
@
@mariamhadija72368 years agoTuna kuombea raisi wetu uishi miaka 10 wew raisi wa wanyonge wew ndy mkombozi wetu. 3
@
@aminaamry22527 years agoKweli baba nimekuelewa vizur wee ni tais wawa nyonge lakin bado muheshimiwa tunaomba utamke juu ya vyet hewa maana kuna watu wamefukuzwa kazi ikiwa majukumu. ...Expand
@
@habiba00227 years agoBaba kumbe unawaona naunalijua kwa nn uwatumbui ee wafukuze kazi viongozi maboya ww umcheleweshi mtu fukuza hao.
@
@abdallamabrouky3408 years agoMh rais viongozi wengi wa kuteuliwa pamoja na wawakilishi nahata wananchi wengi hatuna uwezo waubunifu kwamfano. Mkoa wa t aborasoko lakisasa maamuzilililopo walijenge upya. Ajabu mji wataboramiundo. Mbinu. Ambayo ipotayarimh. Tunaongezabadala. Yakuongeza vituo. Vingine vyamapato. Baadhi. Yawamachinga. Nao wapatemeza zakuuzia sektarais tunaomba i living alien a hill. ...Expand1
@
@joashnyabange88308 years agoYaani baba wewe ni bosi kabisa una maamuzi ya kuridhisha ila tunakupenda sana tena sana ila waziri wa elimu arekebishe kauli, nini maana ya elimu haina. ...Expand1
@
@renaldakamugishazeramulake9408 years agoMh. Rais maamuzi yako ni mazuri lakini hukuwatendea haki wawakilishi wako tz. Nzima.
@
@HassanHassan-sn5cj7 years agoKwakweli ilikua maamuzi mazuri kama wanyonge wanathaminiwa kwakiwango hicho aidha nikweli tumeshuhudia maeneo mengi mi mwenyewe ni mchimbaji mkigundua. ...Expand
@
@josephtarimo78427 years agoKiongox nakuomba mwendoe bashite kilasiku tunatekwa kwanini. 1
@
@aminaamry22527 years agoKweli baba nimekuelewa vizur wee ni tais wawa nyonge lakin bado muheshimiwa tunaomba utamke juu ya vyet hewa maana kuna watu wamefukuzwa kazi ikiwa majukumu. ...Expand
@
@abdallamabrouky3408 years agoMh rais viongozi wengi wa kuteuliwa pamoja na wawakilishi nahata wananchi wengi hatuna uwezo waubunifu kwamfano. Mkoa wa t aborasoko lakisasa maamuzilililopo walijenge upya. Ajabu mji wataboramiundo. Mbinu. Ambayo ipotayarimh. Tunaongezabadala. Yakuongeza vituo. Vingine vyamapato. Baadhi. Yawamachinga. Nao wapatemeza zakuuzia sektarais tunaomba i living alien a hill. ...Expand1
@
@joashnyabange88308 years agoYaani baba wewe ni bosi kabisa una maamuzi ya kuridhisha ila tunakupenda sana tena sana ila waziri wa elimu arekebishe kauli, nini maana ya elimu haina. ...Expand1
@
@HassanHassan-sn5cj7 years agoKwakweli ilikua maamuzi mazuri kama wanyonge wanathaminiwa kwakiwango hicho aidha nikweli tumeshuhudia maeneo mengi mi mwenyewe ni mchimbaji mkigundua. ...Expand
Related videos for Rais Magufuli aagiza kusitishwa utekelezaji wa zoezi la kuwaondoa Machinga mkoani Mwanza.:
e. 2