Duration 2:31

“WALEMAVU WANAHAKI SAWA KAMA WATU WENGINE”DC MWILAPWA

231 watched
0
1
Published 4 Dec 2020

Viongozi wametakiwa kuwashirikisha watu wenye ulemavu katika shughuli za maendeleo kwani nao wanao uwezo. Hayo yamesemwa na Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa wakati alipokuwa mgeni rasmi katika siku ya Watu wenye ulemavu ambapo kwa jiji la Tanga yamefanyika katika kituo cha YDCP.

Category

Show more

Comments - 1