Duration 3:10

MPYA - Njia Za kujikinga Na CORONA ( COVID-19)

200 watched
0
1
Published 14 Apr 2020

Corona (COVID-19) ipo, ni Jukumu la kila mmoja kujilinda yeye na jamii inayomzunguka ili kuzuia kuenea kwa kasi kwa ugonjwa huu. Angalia video hii Mpaka mwisho ili kuujua ugonjwa wa COVID-19 na njia za kujikinga. Usimsahau Mungu na kuombea wengine pia.

Category

Show more

Comments - 0