Duration 1:53:37

HIVI NDIVYO KURA INAVYOPIGWA KUMPATA MGOMBEA WA URAIS KUPITIA NCCR - MAGEUZI

3 709 watched
0
8
Published 7 Aug 2020

Wajumbe wa Mkutano mkuu wa Chama cha NCCR Mageuzi wameanza zoezi la kupiga kura kwa lengo la kumpata mgombea wa urais atakayepeperusha bendera ya chama hicho kwa upande wa Tanzania bara na visiwani Zanzibar.

Category

Show more

Comments - 1