Duration 4:33

ONYANGO Afungukia UMRI Wake, Amtaja KAGERE - Zile NDEVU Wakajua MZEE

215 317 watched
0
905
Published 19 Aug 2020

ONYANGO Afungukia UMRI Wake, Amtaja KAGERE - "Zile NDEVU Wakajua MZEE" KIKOSI cha klabu ya Simba, leo Agosti 19, kimeendelea kufanya mazoezi katika uwanja wao wa Mo Simba Arena uliopo Bunju jijini Dar… Global TV tumefika katika uwanja huo na kushuhudia mazoezi hayo ambapo pia tumepiga stori na wachezaji wakongwe ndani ya klabu hiyo, Nahodha John Bocco na Shomari Kapombe, pamoja na wachezaji wapya waliosajiliwa siku chache zilizopita, Chriss Mugalu na Onyango… Wachezaji wa Simba wanafanya mazoezi ya kufa mtu wakijiandaa kuvaana na klabu ya Vital’o kutoka Burundi katika mchezo wa kirafiki utakaochezwa siku ya Jumamosi Agosti 22, katika kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika uwanja wa Mkapa na Uhuru…. ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT AMAZON: https://www.amazon.com/shop/globaltvonline ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE ( +255 784 888982), ( +255 713 837506) ⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ HABARI MPYA DAILY:shorturl.at/mnux2 ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline

Category

Show more

Comments - 147
  • @
    @mamutz73204 years ago Onyongo achananao ao yanga watoto wa mama wasikuchanganye kalibu. Simbaaaaaaaa 6
  • @
    @stephenziro85304 years ago Afadhali mashemeji Darby itarudi juu huyu jamaaa alikua anafanya Gormahia haifungiki kabsa. Hongera kwa Simba hapa hela haijapotea 7
  • @
    @jeremiadaudi57804 years ago Karibu sana jaduong'u machiegini dara omerah 8
  • @
    @swedially49114 years ago Ndo utagundua mchezaji msomi yukoje. Maswali yanajibiwa very logical 17
  • @
    @ALIMOHD-bk9lr4 years ago WAANDISHI MKIKOSA HOJA NI VYEMA MKATULIA MAANA SIO DHAMBI. HATA TUKISAJILI WA MIAKA 1000 NI WA KWETU NA UWEZO WAKE NDIO MUHIMU KWETU. TUTAWAKALISHA KIMYA SIKU TUKIKUTANA NA HAO JAMAA ZENU WA UTOPOLO MDA SO MREFU INSHALLAH 2
  • @
    @shabanismaily57774 years ago Nimekielewa sana Onyango na uko smart sana . 6
  • @
    @ladislauslingwentu96704 years ago Karibu Sana Omera! Leta nguvu zako tuziunge Pamoja kwa mafanikio Zaidi coz SIMBA NGUVU MOJA!! 3
  • @
    @khalidbalala77533 years ago Nani amekuja huku kusikiliza interview ya Onyango baada ya kuperformed vizuri 1
  • @
    @cellyjoseph53824 years ago Huo uzee mnaompa uko wapi halafu unamuuliza umri wake wa nn au iweje mnajishusha cv watangazaji wengine upuuzi tu 2
  • @
    @stevemwakisimba59864 years ago Mi nilikua najua amri said kocha wa mbeya city hahahaha mkataba umekwisha kkkkkmm 4
  • @
    @shabanimkavu84674 years ago Usijali kaka hao wanaokuita Mzee waonyeshe kazi 4
  • @
    @jumangura77254 years ago Kwa huyo babu kweli simba imekuwa kituo cha kulelea wazeee 2
  • @
    @hilallymayota40734 years ago We dada mbona mnafiki habali ya mli unakuhusau nn 2
  • @
    @abdulsalum63754 years ago Nikama baba ake Diamond alivyoona mtoto wake anaimba mzk nayey akaanza kuimba 2
  • @
    @dechaggagirl16144 years ago Mbona ata c mzee jmn piga kazi wabongo jmn kauli chafu looh 1
  • @
    @mwaminifungo46654 years ago Kweli umri unaonekana Mkubwa kwani umri ndo unacheza au? 1
  • @
    @sullehtz93274 years ago Waandishi wa Tanzania bhn hakuna kituh ssa tetesi za mitaan mnamuuliza mchezaji,ovyoooo👌👌👌
  • @
    @ibrahimharuna98214 years ago HAWA WAANDISHI WAPUUZI
    JIBU LA ONYANGO LIKO SAWA
    2
  • @
    @perersulle36824 years ago We Dada anataka kuolewa ndo man anauliza umri 6
  • @
    @sapzuuramadhan29834 years ago Usirudie kuuliza wachezsji wasimba maswali yanayoweza kuwaathiri kisaikolojia .umekosea sn huyo nimgeni mnamuulizaje upuuzi kama huo au mmetumwa 4
  • @
    @chrispinsailas95414 years ago PUMBAFUUU SANA HAWA WAANDISHI MASWALI GAMI HAYA 2
  • @
    @ahmednoor14124 years ago Kwani hamjui miaka 27 Kenya kwa tz ni miaka 39
  • @
    @sylvesterjose32864 years ago Shikamoo Babu ONYANGO Baba yake Laila Odinga. Machiegni, olekamano!
  • @
    @mohamedmariano56994 years ago Watakuelewa tu walisema wazee hao watu wakatinga robo faynal ooh wazee hao watu wamechukua treble wanasema tena wazee watu tunaenda nusu fanal champion Africa wesubiri uone
  • @
    @semlambakinda75244 years ago mzee bwana umuona bure gamakaza vigengile mng'anda 1
  • @
    @ibrahimbinbenya93134 years ago Mwandishi mbona hujamuliza Kama Ana wajukuu wangapi ? 3
  • @
    @alphanisuleman69794 years ago Unajua watanzania wanatabia ya kuwakandio wenzao rakini wakiambiwa wao wanachukia yule mwalimu wa yanga walimweta dj huyu wa Simba kuku kishingo wao wameambiwa manyani wanaandana .
  • @
    @lewismpangala9274 years ago Oliva mtukudzi aka mzee Joshua Onyango
  • @
    @philiposam57624 years ago Uyu jamaa sio mzee bana kazaliwa mwaka 1975 3
  • @
    @mchinaatasha34734 years ago Njie waindishishi ulizen maswali ya msingi sio mnakurupuka uzee inahusu nn wacheni baana
  • @
    @leonardsimon21484 years ago Mtu unauliza umri unagawa vyeti vyakuzaliwa? 1
  • @
    @abdulymchomvu67664 years ago Mbon si tumezoee wazee wt il tunashinda nyie vijana mbn hamshind 3
  • @
    @geofreysenka70914 years ago Wandishi munao hoji hasa wewe mwanamke bado Sana kumbukeni Roger Milla kacheza akiwa na miaka paka miaka 45 wakina pual madin Italy wamecheza wakiwa na umri mkubwa Sana muwe wafwatiliaji
  • @
    @jumabanda28024 years ago Anaogopa kutaja umri wake, kweli naanza kuamini ni mzee 1
  • @
    @manenokiluwa9884 years ago YOTUBE CHANEL IJULIKANAYO KWA JINA LA GREEN STARS FOR QUALITY HEALTH INAKULETEA VIPIND VYA ELIM ZA MAGONJWA MBALIMBALI (AFYA DARASA ) USIKOSE KUFUATILIA
  • @
    @simonmabigi94234 years ago hahahaaaah miaka 50 hyo we wemzeee baba 1
  • @
    @ancelinhoonlinesport42354 years ago Huyu dem kiingereza chake sio romantic sijui bwanaake huwa anachukuliaje hiki kituko 😆😆😆
    Tujikumbushe baadhi ya maneno yake
    How about your enemy
    What about Tamasha 😆😆😆🙌🏽
  • @
    @husseinyusuph54584 years ago Simba wamesema wao hawamruhusu mchezaji kufanya interview apa vipi
  • @
    @davidnicholaus53044 years ago Umri wake unakuhusu nini.. We Dada tuambie umri wako
  • @
    @jicholafursa70584 years ago Why so many questions, he looks younger though.
  • @
    @kapesamjenga51684 years ago huyo dada aache usenge kuna maswali mengine anauliza ya kikuma sana 2
  • @
    @jimmycroud10274 years ago Wew mtangazaj mbona una maswal ya ovyo ss
  • @
    @hassanbukukwe83454 years ago Huyu bado dogo sana atakuwa na 19 years old
  • @
    @georgemr56784 years ago Mpunyenye wewe mbona hajataja umri wake
  • @
    @jafarikalongola48114 years ago Wametuletea mzee mmmh so Kwa beki huyo mi nahamia yanga kuazia leo 1
  • @
    @allychongowe20254 years ago Subirini ligi ianze mtajuwa kazi yake wanafiq wataumbuka 1
  • @
    @shabanimkavu84674 years ago Usijali kaka hao wanaokuita Mzee waonyeshe kazi