Song : UJE
Artist :Reker
Producer :Fresh Sound
Record Label :ICAN MUSIC
Manager :Luxer MG
Country (Tanzania - East Africa)
Nakukaribisha kusikiliza /kutizama Ngoma mpya (New Sound) kutoka kwa msanii wenu people's choice REKER ni wimbo mzuri wa mapenzi kwa ajili ya wapendanao kwa dhati pia hata wewe ambae hujapata karibu kuisikiliza nyimbo hii utajifunza kitu na amini ipo siku utapata wako wa dhati. THANKS
Pia nipendee kushukuru wote walio husika kuikamirisha hii project Luxer MG manager wangu namuahidi kufanya kazi kubwa zaidi na zaidi Bila kumsahau producer wangu - Fresh Sound
Our Slogan TOGETHER WE CAN #ICANMUSIC
Category
Show more
Comments - 42
Related videos for Reker -UJE (Official lyrics video) AN ENDLESS EP: