Duration 2:56

CHUI AKUTWA NA VIRUSI VYA CORONA

1 986 watched
0
12
Published 6 Apr 2020

Chui wa kike wa Malaysia mwenye umri wa miaka minne katika bustani ya wanyama nchini marekani amepatikana na virusi vya corona. Bustani hiyo ya Bronx katika mji wa New York, inasema kwamba matokeo hayo yalithibitishwa na maabara ya huduma ya afya ya mifugo mjini Iowa.

Category

Show more

Comments - 3