Duration 20:12

MadeinTanzania Umuhimu wa Ushirika wa MADIRISHA na Utengenezaji wa Asali

581 watched
0
12
Published 16 Dec 2020

Ubora wa bidhaa ni nguzo muhimu sana katika uchumi wa viwanda. Hatua hii ya kujiongeza na kuongeza thamani ya bidhaa kwa kutumia teknolojia ya kisasa inaongeza kasi ya faida na kupunguza upotevu wa malighafi.

Category

Show more

Comments - 4