Duration 15:28

Exclusive With Tanzania's Alikiba | NBS After5

24 402 watched
0
578
Published 12 Sep 2019

#Alikiba #DouglasLwanga #Mckats #NBSAfter5 "For more of these videos, follow the link below to subscribe to our channel today. bit.ly/NextMediaUG Download the app on iOS: bit.ly/nbstvapp Android: bit.ly/nbstvandroid Follow Us on Twitter: https://twitter.com/nbstv Facebook: https://www.facebook.com/nbstelevision/ Youtube: bit.ly/NextMediaUG"

Category

Show more

Comments - 151
  • @
    @lenaliz80375 years ago Thx for bringing on this legendary man. His music is timely.
  • @
    @wemakalamu35385 years ago My favourite artist always king kiba be proud of your self big up nice interview. 1
  • @
    @zawadiomary81955 years ago Kingkiba aise hukiwa unakuba english ya kiba gonga like comment share ili tuone kama tunaweza. . 20
  • @
    @exip005 years ago Hogeraha king kiba, king of east africa music industry y' all love from atlanta georgia usa. 7
  • @
    @aminamzava20925 years ago Hongera kipenzi changu ali kiba wangu nakupenda unajiamini sana kaka love you my love. 4
  • @
    @hamadharerimana81875 years ago I admire his english. He is doing well.
  • @
    @royupendo45855 years ago Naona anaongea vizuri tu aisee. Kuna marais hawajui kiingereza wanatembea na wakalimani hebu mumuache kaka wa watu. Keep up the good work brother. 13
  • @
    @djgmp81405 years ago King wetu yupo huko kwenu mumlinde vizur asizurike. 7
  • @
    @adamkampindi41145 years ago My best bongo artist ever,
    best song: mwana.
    6
  • @
    @abdulrahamanjuma76275 years ago Jama anapiga ela nyie munapiga kelele kiba for real mamaee! 11
  • @
    @namugenyialima17205 years ago Alikibas songs made mi learn kiswahili. 25
  • @
    @artemisneoy95965 years ago The only bongo flavour king! King kiba. 1
  • @
    @aminayusuph98395 years ago Fallypupa hajui hata kidogo hcho kiingereza yy kiba ndio nan ili akijue chote inatoshaa king kibaaa. 24
  • @
    @ummuismail75975 years ago Yee babaa umeimprove english yko. Safi sana. 3
  • @
    @mathewbicco78415 years ago Kwa level za kitanzania kinakutosha sana, safi.
  • @
    @yohanemwitumba85515 years ago Kiba mambo yake yote ni slow sio wa kupwayuka pwayuka anajitabua uyu na ajawa limbuken wa lugha ni professional uyu. 7
  • @
    @citizenstvlive89314 years ago Nimelike, nimekoment na kusubscribe channel yako natumahi pia wewe utafanya vivyohivyo* kazi njema kabisa*. 1
  • @
    @sofilove70245 years ago Inabidi kila star ahongeye luga ya inchi iliyo watawala ili kuhingiya international zahidi. Mfano fally anahongeya kifaransa davido kingereza wewe je. Kiba yebaa yaa nyingi sana.
  • @
    @kojjagulimuyesenga80255 years ago Don' t lough at him because tanzanians speak swahili am a ugandan working from tanzania but most of ugandans can' t speak kiswahiri at all. 5
  • @
    @zclassicfashionz15735 years ago Alli ndio ongea yake iyo hanaga mtoririko wa maneno ata interview za apa kwetu yuko ivoivo. 3
  • @
    @andrewsongo94505 years ago Is not our national language so no bad for them. But we deal with our intention so alikiba intention is to perfom a great show that u can enjoy, but is not talking english just know it. 5
  • @
    @fadhildav60515 years ago Tatizo letu watanzani tumejaa chuki ftina na ushabiki mandaz. 19
  • @
    @gavanaolenenguya14545 years ago Africa yah. Hajui ata kidgo jaman. Aibu harmonize anakushindaa. Jifunze lugha bwana aibu kama zotee.
  • @
    @elietanasari25475 years ago Mnamongelesha kingereza kwan king ni mmarekani, kiba wewe gonga kiswahili piga manoti tuache cc tupige kelele. 3
  • @
    @asantelaizer66745 years ago King kiba nakukubali sana ila nkushauri kaka jifunze lugha zaid. 3
  • @
    @slovetanzania8125 years ago Sema naisi kama zinapotokeaga hiz interview za kimataifa muuni huwa anawazaga saana.
  • @
    @ayutoamos10715 years ago Kwani kiba, leoulikuwa mzungu wa lugha? Daaa.
  • @
    @sofilove70245 years ago Alikiba oyeee jama unatuhahibisha wewee kumbe ahujuhi luga intarnational utahenda vip. Ndo nimegunduwa kwamba diamond nistar mkubwa sana anapiga intavieaw adi marekani. Wewe uganda tu pamekutowa povu.
  • @
    @robertrichard48045 years ago Alikiba alivyosikia jina la harmonize akashikwa na uoga.
  • @
    @therapper42545 years ago Messi ni bonge la staa na kingereza hajui sasa kiba mnamuhukumu nn? 3
  • @
    @shadyamohammed11835 years ago Wa tanzania tujivunie na lugha ya kwetu acheni ujinga.
  • @
    @lwassaberna40245 years ago Tuache ushabiki king kiba anahitaji kujifunza kingereza zaidi huwezi kua international bila kujua vzr kiingereza kwasbb mataifa mengi yametawaliwa na waingereza. Sasa interview km hizi zinaweza kukushushia hadhi. 4
  • @
    @rashidiomary29775 years ago Ally jifunze kingereza jamaa unatuaibishaa jamaa.
  • @
    @anitaanita97345 years ago Swali langu ni kwani haw watz hawajui kingereza kabisa na wasani hata wana habari hawajui kingereza waah i wander.
  • @
    @chiefkaitaba.m.94665 years ago Kiingereza cha kiba anakijua yy kama yy, sijuhi anakwama wapi.
  • @
    @yohanemwitumba85515 years ago Mnazani uyo kiba kaixhia laxab kama mond kama amna cha kuongea piten kawa2ma mond nn? 4
  • @
    @mohamedizabura33215 years ago So yah this is identical of alikiba at the end of talking in english means he don' t talk too much. 2
  • @
    @famitoissanawanda62955 years ago Kingi mvivu walol hatari sana kweli kutangulia sio kufika mondi hadi sleang anaondokanacho da! Ila umejitahidi hongera kiasi chako.
  • @
    @West-side-lt9nb5 years ago Duh jifunze lugha king kiba. Konde boy anakushinda. 3
  • @
    @doctorscora88375 years ago Muingo mi nasima chuo miaka ya 97 wewe unaimba.
  • @
    @darkplatnum90065 years ago Nimegundua kwann international huy mtu haend kumn lugha.