Duration 13:4

Umebatizwa na kutumwa kutangaza Injili

9 489 watched
0
47
Published 16 Sep 2019

WIMBO: Maalum kwa mashindano ya Mwezi pekee wa Kimisionari ambapo kwa Jimbo la Kigoma wimbo huu ulishika nafasi ya kwanza MTUNZI: Gabriel Ng'honoli KWAYA: Kwaya ya Yesu Kristo Mfalme Parokia ya Mt. Vinsenti wa Paulo Parokia ya Katubuka Jimbo Katoliki la Kigoma. AUDIO: EGEZ PRODUCTION (NICE P) VIDEO:TANGANYIKA PRODUCTION

Category

Show more

Comments - 11