Duration 14:8

Tundu Lissu, Mbowe Wamfurumsha Mnyika Ameuza Majimbo ya wagombea Chadema, Musiba Awaumbuwa

15 471 watched
0
54
Published 25 Sep 2020

#TunduLissu Tundu Lissu, Mbowe Wamfurumsha Mnyika Ameuza Majimbo ya wagombea Chadema, Musiba Awaumbuwa

Category

Show more

Comments - 284
  • @
    @evancemwaitubi63824 years ago Wewe ni msaada mkubwa Sana kumuongezea CV tundu lisu hongera kwa Hilo ni yeye 2020 (lisu) 8
  • @
    @vivianusrwezaura12454 years ago Hivi inakuwaje mtu unakuwa mmbea na mnafiki kwa kiwango hiki? 10
  • @
    @charlesmbaga60884 years ago Mmbea sana kama wanamke halafu muongo na kichwa chako hakipo vizuri stay focus soon💪💪🔥🔥🔥💯
  • @
    @bulayaconfidential72124 years ago hakuna kazi ngumu kama kuwa kibaraka, mwanaume mzima mwenye pumbu mbili kuongea ujinga kama huu ni kutuvunjia heshima kama wanaume!! 7
  • @
    @mohdsaeid3434 years ago Mm ni ccm kura ya mbuge ntampa ccm ila uraisi tundu lisu ndo mkombozi wetu 6
  • @
    @josephinegravasiano86144 years ago Mungu anakuona atakujibu kwa wakati wake
  • @
    @azizawadh59734 years ago Ivi mbowe afunge mitambo rombo tcra inamuangalia tu usalama unamuangalia tu. Alafu musiba ndio utangaze utoe na maelekezo kwa umma 8
  • @
    @luthermartin10984 years ago Wewe wanaNchi wakapige kura acha uchongamishi 7
  • @
    @mbeyadigitalsound4 years ago We musiba mbona we hueleweki uko upande gani? 7
  • @
    @bernardinaa75654 years ago Safi Msiba,Mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🤗🤗🤗🤗🤗💪💪💪 1
  • @
    @mariethamkulo19834 years ago Tuliaaaaa wewe watu tunajielewa siku hizi 11
  • @
    @derickthobias63934 years ago Kama na wewe umeona uyu musiba ana bweka2 gonga like 2
  • @
    @karimchindema98234 years ago Yani huyu jamaa anachokifanya ni kuwapush chadema kwenda mbele zaidi... I wish angekuwa kimya... 3
  • @
    @ngoziy4 years ago Wewe msenge kweli tena fala wa kidigitali
  • @
    @robertelias1144 years ago jasho litawatoka na mtaongea uongo mpaka mchoke, watu tumeanza kuelimika. 4
  • @
    @godfreyngimba87374 years ago Daaah watu waoga nchi hii kashaanza kujistukia
  • @
    @thelivingwordchannel90274 years ago Musiba,dont worry,tunajua wanachoplan kufanya na wafadhili wao. 3
  • @
    @husseinmiraji13214 years ago Mbona unataka kutuharibia Ccm yetu majimbo gani yamenunuliwa?
  • @
    @gideonmwalyego4664 years ago Mungu hawez kuteua jitu nafki,pumbavu na lenye kutoa story za uongo uongo. 4
  • @
    @stevennchimbi18334 years ago Ukishakuwa na matokeo yako mfukoni shida ndo zinaanzia hapo. Kwanini kunakuwa na uchaguzi 2
  • @
    @Pango-ul2pb4 years ago Maixha haya mhhhh kweli wabongo nikama yuda
  • @
    @yusuphdunga55434 years ago hii mitambo imefungwa bila serikali kujua? 1
  • @
    @joshuaswai6534 years ago Koma mpaka ufe usijiite mwanaharakati ni upumbavu umekujaa na njaa Kali tu
  • @
    @sakinabakari98134 years ago Tumeelimika msitupotoshe hatudanganyiki tena subirini 2020 1
  • @
    @alijuma11894 years ago Huyu msiba akiambiwa msenge anaona dili 2
  • @
    @josephmallya47394 years ago Acha kusema vibaya mbona na wewe unatumika 3
  • @
    @samsonmliutu77614 years ago Acha kutudanganya Leo Nyerere hayupo na ni baba wa taifa na maisha yanaendelea acha kutudanganya.
  • @
    @kondelamwenyewe8wasimba6814 years ago Huna lolote kwamba bila magufuli Tanzania haiwezekan umelongwa nn? 2
  • @
    @joramuzacharia46414 years ago Hofu yako nn maana kutoa utata musiba ni uchaguzi tu tunakiwa tujue nani kashinda kihalali 4
  • @
    @mwetajackson89694 years ago Tanzania bila Magufuli inawezekana mbona Nyerere mwasisi wetu hayupo na msisha yanaendelea?
  • @
    @duniamapitosotewamungu34674 years ago kama watoto wa chekechea watapiga kura basi makufuli asilimia 30 hapati
  • @
    @furahaadam7234 years ago Wasenge kama hawa bado wapo kumbe!!!!!!!!!! /////!!!!!!!!!
  • @
    @evamacha78964 years ago Leo ndio nimejuwa wew ni muwongo muwogope mungu
  • @
    @danielkaaya71114 years ago Ccm wanapata wapi hela za kusomba watu waje kwa kampen ? 1
  • @
    @mwetajackson89694 years ago Hahahaaaaa hizi tahazari hakuweza kuzitumia kwa wajumbe alishindwa nini kunasa kuwa wajumbe hawamtaki akajitoa kuliko aibu aliyoipata?
  • @
    @edwinkimambo94734 years ago Kweli ww ni kibalaka wa mkolon ccm unajipya 1
  • @
    @denisimaliyaweni91834 years ago Kwan kuna kibaya kipi hapo lengo kutaka haki na usawa wa uchaguz ni vizur tu
  • @
    @jahmbenyjahmbia2104 years ago Huyu mchochez sn kwani usalama wataifa
  • @
    @thomasmwambwiga17244 years ago Natupo macho kweli chadema tutalinda kura hatutaki kuibiwa
  • @
    @inno42674 years ago Kama devis haifanyi kazi si poa ? Mbona umeigia ubaridi tena?
  • @
    @azizawadh59734 years ago Iundwe sheria ya kubomoa mitambo mnafeli wapiii 1
  • @
    @danielkaaya71114 years ago Sisi tupo tz unaongea kama unaongea na watu wasiojitambua
  • @
    @mwajumamhecha86834 years ago BP itakuuwa. Musiba Mambo ya siasa waachie wenyewe Wana siasa 1
  • @
    @issamartinho34904 years ago Hoja nyepesiii sana unafeli wapi rafiki unabumba vitu upate attention...
  • @
    @janekikoti21794 years ago Ccm hoyeee Magufuri ni baba lao
    Tunashukuru kwa taarifa hiyo msiba
  • @
    @philipmasungwa88944 years ago Unapoteza Muda wako bure watu walikwisha kupuuza WATANZANIA wenye akili zao timamu huwezikuwshawishi. 1
  • @
    @polepolemgentz57844 years ago Msiba cc tumekukataa unajipendekeza hufaihatakua baloz nyumbakumi tuachena magufuliwetu
  • @
    @zabronijoseph7284 years ago Ujamaaa muongo yani ndomana aliangukia pua ubunge
  • @
    @alexeddie80814 years ago Yani wamefanya vizuri kwn kunashida wakifwatilia uchaguzi?we,mbona unataka kututisha
  • @
    @frumencemushi26874 years ago Nadhani jeshi la polisi liko makini kuliko msiba.
    Kuongea hivi ni kulidhalilisha jeshi letu makini.
    Umbea.
  • @
    @neemalumona9094 years ago Huyu mtu hanaga jipya kwangu kwanza mropokaji hanaga point