Duration 11:51

Jinsi ya Kuondoa Kitambi na Nyama Uzembe bila Dawa wala Diet

65 317 watched
0
1 K
Published 5 Nov 2021

Njia hii ni rahisi sana na ina matokeo ya kudumu kabisa tofauti na njia nyingine za mitaani ambazo zinakupa matokeo ya muda tu na ukiacha kuzitumia unajikuta tatizo limekuwa kubwa zaidi kuliko pale mwanzo. .......................................................... Contact Us : +255676298270 ------------------------------------------------------------------------------- E-mail : toptenherbs@gmail.com ------------------------------------------------------------------------------- Instagram https://www.instagram.com/toptenherbs --------------------------------------------------------------------------------- Facebook https://web.facebook.com/toptentanzania --------------------------------------------------------------------------------- Website https://www.topten.co.tz -----------------------------------------------------------------------------------

Category

Show more

Comments - 232
  • @
    @julianaharrison43563 years ago Dr mafundisho yako nimefuatilia nipo vizuri sana asante kwa somo zuri. Uishi miaka mingi uendelee kutupa somo 17
  • @
    @scholasticabufune10132 years ago Ubarikiwe doctor na mim kesho ntaanza kuiaply hii njia maan nilikuwa na flat tm Ila baada ya kujifungua 😁😁nmekuwa n kitamb Kam vile bado nimjamzito🙈🤗 8
  • @
    @khadejakhadeja97133 months ago Sawaa tumekuelewa.dctr.tutajitahidi Kula mapema
  • @
    @alexdaniel31882 years ago Ahsante sana Doctor nitaanza Leo hii njia nimeipenda 1
  • @
    @mwitagabriel56443 years ago Asee hii itakuwa kweli ahsante sana mtaalam 2
  • @
    @bonifacebeatrice80773 years ago Ahsanteee kwa elimu na Mungu akuongezee viwango vya maarifa kadili ya apendavyo 3
  • @
    @wavidunda4782 years ago Asante sana Dr.Ulin8saidia sana kuhusu dawa ya mkanda wa jeshi. 3
  • @
    @estermagige41612 years ago Okay hapo nimekuelewa sn Doctor Asante sn 2
  • @
    @SalmaMohamed-ff1mcyesterday Kwhiyo doctor ukila mchana usilale au mchana unaluhusu tulare.et🎉
  • @
    @joelsamwel64042 years ago Hii ni kweli 99.9% ndomana watoto wakienda shule bording anarudi amepungua unaweza sema shuleni akuna chakula lakini kipo ila wanawahi kula saa 12 wanesha kula 1
  • @
    @salmasleyum8441last year Ahsante dr kwa ushauri wako nitaanza leo tukijaaliwa
  • @
    @brunopeter97762 years ago Nikweli kabisa Dr..nimepungua ndani ya wiki mbili tu baada kuacha kula usiku 2
  • @
    @edithasimon2770last year Asante sana kwa ushaur nimefanya mazoezi paka nimechoka
  • @
    @alfredkenz3802 years ago One respect thanks bt vp kuhusu sisi tunao fanya kazi usiku mzima
  • @
    @lidyamhova80433 years ago Sawa nashukuru ntaanza kuacha Kula jua likizama nimekuelewa vzr ten san 1
  • @
    @rahabnkya82762 years ago Nimepokea, MUNGU akuzidishie MAONO MENGI
  • @
    @rizikinassoro40112 years ago Mm nimeanza ngoja tuone Asante sana doctor maana ninatumbo hadi najichukia 1
  • @
    @alicemakala-fi8xd8 months ago Upo sahh kabsaa kjjn weng sana hawana vtambj
  • @
    @chrissytwaly1276last year habar docta je kwa mtoto je anatakiwa Kula jioni saa ngapi
  • @
    @zainabsalum13093 years ago Asante kwa ushauri
    Je kula matunda usiku au maji usiku???
    1
  • @
    @evalinejoseph64303 years ago shukran Sana Dr Mungu akulinde kila leo 1
  • @
    @user-ys9lt6vv9j2 years ago Asante sana Dr, mimi sikuwaga na kitambi lakini nilipozaa kitambi kimekuja, sasa na mimi nitumiy hayo mafunzo au, nisaidiy nifany nini 2
  • @
    @amourmattar7733 years ago Vipi kwa CC waislaam mwezi was ramadhani
  • @
    @samiaarimkonekonko50962 years ago Naomba unijibu kaka maji jee ninywe usiku
  • @
    @justinmshana69042 years ago Mm. Ningeulizaa jee jua likizamaa nikilaa matundaa usikuu ni vibaya
  • @
    @rehemangome26677 months ago Je doctor naweza kula matunda usiku hainashida?
  • @
    @shanitumaini98672 years ago Mafundisho mazuri sana Sasa sisiambao tunavitambi tayari tufanye nini ili kitoke au nikiachakula usikukitaondoka taratibu
  • @
    @fatmaiddi53392 years ago Asante sana dokta ume nifungua macho nn kitambi Toka nijifungue mpaka Sasa nn mwaka nnacho ntaanza Leo Asante
  • @
    @user-et3px3bj9f2 months ago Dr. Nitakipataje kwa sasa kitabu hicho?
  • @
    @felixmagulu61423 years ago Asante sana Doctor, Hakika binadamu tunaangamia kwa kukosa maarifa. 5
  • @
    @graceamran326last year Samahani doctor hata maji haifai kunywa usiku
  • @
    @GAYOTV20232 years ago Nilikuwa nashangaa mbona kitambi changu kinaisha kumbe Ile ratiba ya kula saa kumi na Moja ndio imenisaidia nilikuwa sijui aise ahsante sana doctor Kwa elimu saizi namwambia mke chakula mwisho saa kumi na Moja 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na nikienda kwenye sherehe ukumbini nabeba chakula changu nitakula ahsubuhi ... 3
  • @
    @aliethmgode3892 years ago Aksnte Kwa elimu ila miundombinu ya kwetu umetoka shamba utafute Kuni maji upike juà limezama naaanza kubadilsha ratiba ya kula
  • @
    @maimunaathman46643 years ago Asante Dr, ntakutafuta unitumie icho kitabu 1
  • @
    @shebbytrante70253 years ago Aisee dokta nilikuwa naitamani hii vibaya asante sana dokta 1
  • @
    @sophiahamenyimana71004 months ago Nisaidie mimi sili usiku ila napata nyama uzembe nifanyeje
  • @
    @beautymwaseba2003 years ago Asante Sana kwa kutupa hili somo maana vitambi vimekuwa balaa 2
  • @
    @zeinabluwali78302 years ago Shukran ntaanza Leo maana atanguo hazinikai
  • @
    @wilkistarnyongesa45893 years ago Really doctor,umenisaidia cna ,Kila sku ninafanya mazoezi kitambi Kiko pale hakiishii, nimesha pata Siri x belly Asante kubarikiwa na mungu have a nice weekend 3
  • @
    @valentinanduku8718last year Ni kweli dokta kuna mtu ananiambia hiyo mwisho wa kula ni jioni
  • @
    @rosyotieno72713 years ago Naomba dawa ya kufagazi mkono na migu ? 2
  • @
    @sherehemohamed14433 years ago Yaan ni kwel nilikua sili usiku na kula mwisho saa kumi na moja jion tu kitambi nilikua sin
  • @
    @harriswasongaochieng15313 years ago Dactari tafadhali dawa ya asthma na iishe kabisa ni ipi?
  • @
    @nhezimanmnyetabi4413 years ago Hawa ndo tunaowataka so wake wa tuwasiliane kwa namba ....... 1
  • @
    @aminasankole75572 years ago Sasa doctr mbona wengi wetu tukizaa ndo vinazidi
  • @
    @linetaidi47232 years ago Huku nairobi tuko na shida haswa wafanyi kazi wa manyumba kwa kula chakula saa 5
  • @
    @valentinaelijah74133 years ago ahsanteee sana kwa kunifumbua macho maaan huyu ni mim kabisa nakula saa nne af baad ya nusu saa nalal akii 😂😂😂 naanz kesho hii ntaleta mrejesho barikiwa🙏 1