Duration 38:38

(mpya) MIMI SIO YEYE 1/5 Simulizi Za Kusisimua simulizimix

10 834 watched
0
155
Published 2 Mar 2020

Maisha huwa ni ya furaha sana pale unapofananishwa na mtu asie kua na skendo yoyote ktk jamii ila inapokua kinyume chake basi huwa ni hatari kufikia kiasi cha kuhatarisha uhai wako kama sio wa wale uwapendao. Irene anaingia ktk hatari kubwa baada ya kufananishwa na mwanadada alikua mwandishi wa habari baada ya kua alishafariki tena kwa mauaji ya kikatili mno. Ilikuaje? Twende pamoja ktk mkasa huu wa kusisimua kuweza kuyajua yote hayo.

Category

Show more

Comments - 49