Tunapaswa kumshukuru MUNGU kwa kila ambacho kimetokea kwenye maisha yetu kwa makubwa na madogo,kwa furaha na huzuni, kwa magumu na mazuri. Maana shukurani imebeba ushindi wa mafanikio yetu.
Zaburi 118:28
Category
Show more
Comments - 16
Related videos for USHUKURIWE MUNGU - Neema Gospel Choir (Official Audio) The Sound of Ahsante: