Duration 4:56

ELIUD MSHINDI WA PILI CHEKA TU AKIKABIDHIWA KIWANJA/NITAOMBA MOTO UUNGUZE GUEST YA LEONARDO

23 818 watched
0
423
Published 27 Oct 2021

WATCH WASAFI TV📺 AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113 LISTEN WASAFI FM 📻 88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻 Follow Us On: INSTAGRAM: http://instagram.com/wasafitv || http://instagram.com/wasafifm/ TWITTER: https://twitter.com/wasafitv || https://twitter.com/wasafifm/ FACEBOOK: https://www.facebook.com/wasafitv/ 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅. #wasafi #wasafitv #wasafifm

Category

Show more

Comments - 32
  • @
    @Donrugi3 years ago Najikuta nafurahi sana kama ni mimi yaani. So proud of you guys 💪🏽 9
  • @
    @sharinv88643 years ago Wasafi talk of the town hongereni sana msijali na maneno ya watu wanafki tu simba baba lao. 7
  • @
    @jacksonpeter74843 years ago mwamba kutoka nzovwe mbeya hongera sana 7
  • @
    @subirachuta81693 years ago Kwani hiyo dalali ni shoga???? Maana nasikia wakiimuita dalali mwanamke wakati ni mwanaume!!!!!!!!!???????? 6
  • @
    @salhamrisho81383 years ago Akikabidhiwa kiwacha🤔 wasafi angalieni vizur ni kiwanja badilisheni bhana 4
  • @
    @gradnessshitindishitindi48813 years ago Tena tunatiaga huruma sana kama tunakuja dar hospital pa kufkia ndo shida saiv yupo eliud wetu ndagha bhabha!!! Gwe malafyalee 4
  • @
    @issa_yusontv99533 years ago Dalali mwanamke ... Mmmmmh sijaelewa apo nilimjua nimdada kumbe mwanaume 1
  • @
    @esterdoriye47803 years ago Dalali mwanamke imekujaje ingali ni mwanaume 1
  • @
    @rithamsechu72203 years ago Samaani mbona mnamuita dalali mwanamke 🤣 4
  • @
    @fimbodaddy32493 years ago Kilicho nishangaza nikusikia dalali mwanamke kumbe si mwanamke ni jinatu🤣 3
  • @
    @africanlempe86043 years ago Dalali Mwanamke kumbe ni Mwanaume 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 4
  • @
    @mackenziengolo7mabula1323 years ago Sasa hapo Ukijenga si unatekwa usiku, mbona hakuna majirani
  • @
    @Emmamusiccmb3 years ago NDUGU ZANGU KWA HESHIMA NA TAADHIMA NAOMBA MUANGALIE VIDEO YA WIMBO UITWAO JE UTAVUMILIA KWA KUBOFYA PICHA YANGU APO KUSHOTO NAAMINI MTAUPENDA 💥🎶🎬🎬🎶💥 2