Duration 29:21

MHE. RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AKIHUDHURIA TAMASHA LA UTAMADUNI (MILA NA DESTURI ZETU) KATIKA VIW

245 watched
0
2
Published 8 Sep 2021

Mhe. Rais Samia Suluhu Hassan akihudhuria Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) katika Viwanja vya Redcross – Kisesa Magu, Mkoani Mwanza lililoandaliwa na Umoja wa Machifu Tanzania (UMT) na Kituo cha Makumbusho cha Bujora Mwanza. 08 Septemba, 2021 #SSH #KaziIendelee# #Tanzania

Category

Show more

Comments - 0