Duration 4:23

Tupo mahali sahihi Mlima wa Moto Mikocheni B nimepata ya mtoto. Asante Mungu na Bishop Rose Mgetta

165 watched
0
0
Published 10 Jun 2021

Tupo mahali sahihi Mlima wa Moto Mikocheni "B" nimepata ya mtoto. Asante Mungu na Bishop Rose Mgetta. Ndivyo alivyomshukuru Mungu siku ya Jumapili 06.06.2021 katika kanisa la Mlima wa Moto Mikocheni "B" baada ya kujifungua mtoto. Jumapili hii ilikuwa ni Jumapili ya Kumshukuru Mungu kuingia Nusu Mwaka

Category

Show more

Comments - 0