Watch this fl studio tutorial . Learn how to make Tanasha X Diamond Platnumz - Gere insrumental
Katika video hii utajifunza jinsi ya kutengeneza diamond platnumz ft tanasha donna instrumental pamoja na vinanda alivyo vitumia lizer classic katika kutengeneza beat kwenye fl studio